У нас вы можете посмотреть бесплатно Tazama jinsi Waziri Kairuki alivyokutana na watumishi wa ofisi yake mpya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shuhudia jinsi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Angellah Kairuki alivyokutana na watumishi wa ofisi yake kwa mara ya kwanza tangu alipoteuliwa na Rais Magufuli kushika wadhifa huo mpya. Waziri Kairuki amekutana na watumishi hao mapema hii leo (Januari 30, 2019) katika Ofisi hiyo Jijini Dodoma na kuzungumza nao ikiwa ni sehemu ya kufahamiana na kujua ofisi hiyo. Mkutano huo uliohudhuriwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama pamoja na Naibu wake Anthony Mavunde pamoja na Makatibu wakuu wa Ofisi hiyo Maimuna Tarishi anayeshughulikia Bunge na Waziri Mkuu pamoja na Dorothy Mwaluko anayeshughulikia Sera, Uratibu na Uwekezaji. Kairuki waliwataka watumishi hao kuendelea kufanya kazi kwa umoja na uzalendo ili kujilete maendeleo nchini na kuahidi kushirikiano nao kwa kipindi chote atakachokuwa katika Ofisi hiyo. “Kipekee ninawashukuru viongozi na watumishi wote wa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mapokezi mazuri na hii ni ishara ya umoja wenu na ninaahidi kushirikiana na watendaji wote katika utekelezaji wa majukumu tuliyonayo kwa maslahii mapana ya ofisi yetu na Taifa kwa ujumla,”alisisitiza Kairuki