У нас вы можете посмотреть бесплатно POLISI WATUMIA MABOMU KUTAWANYA WACHIMBAJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Geita limewatawanya kwa mabomu ya machozi maelfu ya wachimbaji wadogo katika mgodi wa Msasa, wilayani Bukombe, kufuatia mvutano mkubwa kati yao na wamiliki wa mgodi huo. Wachimbaji hao wanashinikiza kuondolewa kwa tozo ya asilimia 50 ya uzalishaji wa dhahabu na malipo ya shilingi milioni tano kwa kila anayeanza uchimbaji, huku wakitaka kuruhusiwa kuendelea na kazi baada ya uongozi wa mgodi kuzuia shughuli hizo kwa madai kuwa eneo limekuwa hatarishi kutokana na kujaa maji ya mvua. Hali ya usalama mgodini hapo imekuwa tete huku wachimbaji wakidai kuwa tozo hizo ni kandamizi na zinakwamisha maendeleo yao, wakati wamiliki wakisisitiza usalama wa maisha yao kwanza. Ripoti kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa mvutano huo umesababisha kusimama kwa shughuli za uzalishaji, huku Jeshi la Polisi likiimarisha ulinzi ili kuzuia uharibifu wa mali na machafuko zaidi wakati suluhu ya kudumu ikitafutwa kati ya pande hizo mbili. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg