У нас вы можете посмотреть бесплатно BAHARIA DIRIA:NILITOROKEA SUDAN/VITA YA MSUMBIJI/WAASI/UGIRIKI KUNATISHA..PART 01 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DIRIA ni jina maarufu la kijana wa miaka ya 19980 na 1990, akiwa ni moja kati ya vijana wachache waliyojitoa kusafiri kwa njia za magendo kuelekea katika mataifa mbalimbali ya ughaibuni, huku lengo kuu likiwa kutafuta maisha. Safari yake haikuwa rahisi, ilijaa ukakamavu na matukio ya kutisha, kutoka Tanzania mpaka nchini Msumbiji, na kutoka Msumbiji mpaka Sudan na mataifa mengine yenye vizuizi vya kutisha. Karibu uungane nasi kujifunza na kuburudika kupitia kipindi cha MBANGA Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #baharia #dupamdupange #simulizi