У нас вы можете посмотреть бесплатно DIWANI NA MW/KITI, ALIYEKABIDHIWA HALMASHAURI (W) MASASI AANZA MIKAKATI THABITI KWA WANANCHI WAKE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Diwani wa kata ya Ndanda na ni Mw/kiti wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi . Mh Bashiru Mboneche amefanya mkutano na wananchi wake wa kijiji cha Njenga 07 February 2026 Mkutano ambao wa awali huku akianza kuwashukuru wananchi wote waliompigia kura za ndio na kuwa diwani wa kata ya Ndanda. Aliendelea kusema, imekuwa bahati kubwa kwake kwa maana amepiga hatua nyingine kuchakuliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Masasi hii sio kwa ujanja wake, bali ni sifa na maombi ya wananchi wote kwa kuanzia ndani ya Kata yake ya Ndanda. Pia ameahidi watu wote kupata fursa sawa kwa kila mmoja kwa namna atavyopambana kwa Kata yake na Halmashauri ya Masasi kwa ujumla. wanawake wana haki sawa, na wengine. wanawake wanaweza hvyo atapambana kadri ya uwezo wake, hata kwa Ile mikopo ya wajisiliamali makundi ya akinamama wapate. alimalizia kwa kusema kwa Pamoja na umoja wetu hakika tunasonga mbele Update muungwana One tv