У нас вы можете посмотреть бесплатно Usukani wa Rais Ruto или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Sasa ni rasmi; Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya ni Daktari William Samoei Ruto, baada ya kukabidhiwa mikoba ya uongozi na mtangulizi wake, Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Ruto aliongozwa kula kiapo cha urais na msajili mkuu wa mahakama ann amadi, mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome na kukabidhiwa cheti cha kumdhibitisha kuwa rais. Tukio kuu, na lililosubiriwa na wengi lilikuwa la kupokezwa ala za kijeshi, kama amiri jeshi mkuu, kikiwemo kitara cha kijeshi na katiba ya nchi, ili kumwezesha kuanza rasmi majukumu yake kwa muhula wa miaka mitano. Shughuli za leo ziliendeshwa kwa ustadi na utaratibu ulioorodheshwa kwenye katiba, kuhusu mpito wa urais na kupokezana mamlaka kati ya rais anayeondoka, na rais anayechukua usukani