У нас вы можете посмотреть бесплатно KAMPUNI YA TROMSO YA JAPAN YAKABIDHI KIWANMDA CHA KISASA CHA MKAA MBADALA KWA DORFRA TRADING CO.LTD или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAMPUNI ya TROMSO ya nchini Japan imekabidhi rasmi mradi wa kiwanda chenye mtambo wa kisasa wa kuchakata mkaa mbadala unaotokana na pumba za mpunga kwa kampuni ya DORFRA Trading Company Ltd. ya mjini Kahama katika mkoa wa Shinyanga. Makabidhiano hayo yamefanyika leo katika mtaa wa Mbulu Kata ya Mhongolo yalipo makao makuu ya kampuni hiyo baada ya mafundi kutoka nchini Japan kumaliza kufunga mtambo huo wa kisasa. Mradi huo ulioghalimu zaidi ya shilingi milioni 100 unatarajiwa kuongeza thamani ya pumba za mpunga kwa kuzalisha mkaa mbadala na kusaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wa Kahama na kuondoa utegemezi. @kahamatvonline. USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU https://www.youtube.com/channel/UCcCo... / kahamatvonline #KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE