У нас вы можете посмотреть бесплатно MUNGU ATUKUZWE - THE YONAZI FAMILY CHOIR AND FRIENDS или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wimbo huu umeimbwa wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Familia ya Mchungaji Yonazi na Mama Naamini Salehe uliofanyika Mbweni Dar es Salaam Tarehe 27 Agosti, 2023. Waimbaji ni Familia hiyo pamoja na marafiki zao, Kwanini wimbo huu umechaguliwa kuimbwa na familia? Mchungaji Yonazi Panduka Salehe, alitoka katika familia masikini sana. Akiwa na umri wa miaka 14, aliamua kumfwata Yesu. Jambo hilo lilimfarakanisha na Baba yake na hatimaye kufukuzwa nyumbani. Aliishi maisha ya chini, lakini Mungu aliendelea kumuinua na hata kuwa mchungaji. Aliifanya kazi hiyo kwa miaka mingi hata alipolala usingizi wa Mauti Tarehe 30 Agosti 2014. Katika Maisha yake, aliona ukuu wa Mungu na hivyo kila wakati alipenda kuimba wimbo MUNGU ATUKUZWE KWA MAMBO MAKUU. Familia imeamua kuimba wimbo huu, kukumbuka mafundisho katika maisha ya mtumishi huyu wa Mungu,na kutamani kumtukuza na kumshukuru Mungu kwa mambo makuu. Na kwa upendo na unyenyekekevu, sote tuseme MUNGU ATUKUZWE KWA MAMBO MAKUU. Karibu ku-subscribe @yonazivumwe and follow @yonazifamilychoir Music: Jacob Mang'ombe @jacobmangombe @jacobmangombe Audio: @Light_Bearers_Studio