У нас вы можете посмотреть бесплатно HECHE – “BUNGE HILI HALINA UHALALI” BUNGE LA 13 LAANZA VIKAO VYAKE, LAELEZWA KUTOKUWA NA “MENO.” или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HECHE – “BUNGE HILI HALINA UHALALI” BUNGE LA 13 LAANZA VIKAO VYAKE, LAELEZWA KUTOKUWA NA “MENO.” Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeaanza vikao vyake Jumanne hii mjini Dodoma yalipo makao makuu ya chama na serikali ikiwa ni baada ya kumalizika uchaguzi mkuu wa mnamo Oktoba 29 mwaka jana. Wakati vikao vya Bunge hilo vikianza jumanne hii jijini Dodoma kumekuwepo na maoni mseto kutoka kwa watu wa kada mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa, wananchi na wachambuzi wa masuala ya siasa nchini Tanzania huku baadhi yao wakiliona bunge hilo kuwa la upande mmoja. #focusnewstanzaniatv1 #ccm #tanzania #chadema #samiasuluhu #tundulissu