У нас вы можете посмотреть бесплатно JE, GACHAGUA ATAFAULU KUONGOZA MAANDAMANO? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa waliokuwa na umaarufu na ushawishi mkubwa katika historia ya kisiasa ya Kenya. Alizaliwa tarehe 7 Januari 1945 katika eneo la Maseno, Kaunti ya Kisumu. Yeye ni mwana wa hayati Jaramogi Oginga Odinga, ambaye alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Kenya baada ya uhuru. kwa taribani miaka 40 ya Maisha yake katika ulingo wa Siasa, Raila alijizolea umaarufu mkubwa kwa kupigania haki, usawa, demokrasia na mageuza kadha wa kadha katika taifa la kenya. Hata hivyo juhudi zake za kupata haki haikuwa raisi kwa kuwa watawala hawakukubaliana moja kwa moja na matakwa yake na ikamlazimu kutumia mbinu mbadala ya kutaka kuskizwa na serikali Pamoja na waliokuwepo madarakani. Raila aliamua kuchukua mkondo wa maandamano kama njia moja wapo ya kuishinikiza serikali kuzingatia malalamiko yake. Tangu Kifo chake tarehe 15 october 2025, muonekano wa upinzani nchini umedidimia kwa kiwango kikubwa. Kundi la vijana wa Gen z walijitokeza kwa muda mfupi na kuongoza maadanano mwaka wa 2024, lakini mwishowe walitawanywa na serikali. Subscribe to our channel MwanzoTV and don't forget to turn NOTIFICATIONS ON to ensure that you keep up with all breaking news and updates from East Africa, entire African region and the world. Usisahau ku SUBSCRIBE kwenye Channel yetu ili kupata taarifa mbalimbali kutoka Afrika Mashariki, Afrika nzima na dunia. Subscribe and follow @MwanzoTV on all social media platforms