У нас вы можете посмотреть бесплатно Biriani/Biriyani ya Zanzibar - Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ingredients: Kwa kiasi watu 6-8 For marination 5 lb vipande vya miguu na mapaja 12 pcs au kuku mzima alokatwa Vijiko vikubwa 3 mtindi mzito Vijiko vikubwa 4 tomato paste Nusu 1/4 kikombe tomato ilosagwa Vitunguu vikubwa 4 Vijiko 3 vikubwa vya thom & tangawizi ilosagwa Ndimu/limao 1-2 1/2 Nusu kifungu majani ya kotmiri/gilgilani 1/4 kifungu majani ya nanaa Pilipili za kijani 2 au zaidi Vijiko 3 vikubwa bizari ya biriani ya kinyumbani au 2 garam masala Vijiko 2 vikubwa chumvi Vikombe 3 mafuta ya kukangia vitunguu Nusu 1/2 kikombe mafuta ya ( kwa kuroeka kitoeo) Zaafarani kidogo Mbatata 2-3 kubwa kama utapenda Mataarisho ya wali Mchele mrefu wa basmati vikombe 5 mdalsini mzima vijiti 2 Hiliki nzima 5 pods bay leaves 2 Karafuu nzima 3 Star anise 1 Kijiko 1 kikubwa pilipili manga nzima Robo 1/4 kikombe vitunguu vilokaangwa Chumvi kiasi Zaafarani kiasi Robo 1/4 kikombe maji ya mawardi ( sio lazima, kama utapenda) Vikombe 7-8 maji ya kuchemshia wali mafuta ya moto vijiko vidogo 6-8 kumwagia kwenye wali