 
                                У нас вы можете посмотреть бесплатно Yaliyojiri mahakamani kesi ya uhaini ya Tundu Lissu. Katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
                        Если кнопки скачивания не
                            загрузились
                            НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
                        
                        Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
                        страницы. 
                        Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
                    
Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA Tundu Lissu ameshinda pingamizi aliloliweka kupinga upande wa mashtaka kuwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa picha mjongeo (Video Clip) kama kielelezo cha Ushahidi. Lisu aliweka pingamizi dhidi ya Riport hiyo isipelekwe mahakamani akidai shahidi huyo hana mamlaka yakisheria kwani sio mtaalam wa uhalifu wa kimtandao. #tundulissu #tanzania #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili