У нас вы можете посмотреть бесплатно Muhamed Said aweka wazi kauli ya mwisho ya Mbunge Abdulwakil aliyefariki или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Konde Muhamed Said Issa amesema Abdulwakil alikuwa ni rafiki yake wa karibu licha ya kuwa wanatoka katika vyama tofauti. “Tukiwa hatuko bungeni huwa ananipigia simu kunisalimia, mara ya mwisho tulikutana naye kwenye boti wiki mbili zilizopita akaniambia mimi ni rafiki yako unaniona siji katika kamati unashindwa hata kunipigia simu,”amesema. Amesema kauli hiyo ilimfanya ajisikie vibaya sana na kumfanya kurekebisha makosa yake na nikawa nawasiliana naye. Naye Mbunge wa Tabora Kaskazini Almas Maige amesema wameshtuka kwa kifo cha ghafla na kwamba alikuwa muungwana, msemaji na mwenye mchango mkubwa kwenye Bunge.ecitizen na Mwanaspoti Tanzania.