У нас вы можете посмотреть бесплатно Kakobe amuomba radhi JPM, ripoti ya utajiri wake yawekwa hadharani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA hii leo imesema uchunguzi wake umebaini kuwa Askofu Zachary Kakobe wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship hana fedha kuizidi Serikali kwa kuwa fedha hizo ni za Kanisa na si zake binafsi. Katika uchunguzi huo, TRA pia imebaini kuwa kodi inayofikia jumla kiasi cha shilingi milioni 58.11 ilikwepwa na kanisa pamoja na kampuni inayomilikiwa na watoto wake lakini tayari imelipwa baada ya uchunguzi huo. Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kicheere pia amesema Askofu huyo amemuandikia barua Rais Magufuli kumuomba radhi kwa kutoa kauli za kejeli dhidi yake.