У нас вы можете посмотреть бесплатно Victor Mutta: Vitu 5 vinavyo kufanya usiwe TAJIRI na usiweze ku-save. Achana navyo huu mwaka mpya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kama plani yako ni kujikomboa huu mwaka 2026 kifedha ikimaanisha kuachana na vitu amavyo vina kumalizia hela bila malipo yoyote. Basi haya mazungumzo yana kuhusu. Victor Mutta ni kijana aliye bobea na mwalimu mzuri kwenye mambo ya Finances. Atakufundisha jinsi ya ku-Budget kipato chako kiwe kikubwa ama kidogo. Jinsi ya ku-invest ile hela utakayo save kwa kuelewasha ni masoko gani yaliyo mazuri na yenye mrejesho makini. Hivyo huu ni mwaka wako wa KUJIONGEZA na kufanya mabadiliko. Wacha wote tuwe matajiri. Kama umeipenda hii video basi ipe two thumbs up. Pia usisa hau kushea na rafiki yako at least mmoja na kwenye social media zako kama watsapp groups. Pia kama una comments acha hapo chini. ✍🏽2026