У нас вы можете посмотреть бесплатно KWANINI MWILI WA RAIS WA ZAMANI WA ZAMBIA HAUJAZIKWA HADI LEO? MSIKILIZE BARUAN MUHUZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ni miezi minane sasa tangu kufariki kwa rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, Juni 5 Mwaka jana Afrika Kusini, lakini bado haijulikani atazikwa wapi. Mahakama ya Afrika Kusini iliamua mwili wake urejeshwe Zambia kwa maziko ya kitaifa, lakini familia yake imekuwa ikipinga hatua hiyo. Serikali ya Zambia inasema Lungu anastahili kuzikwa nyumbani kwa heshima ya kitaifa, huku mvutano wa kisiasa ukiendelea kuchelewesha utekelezaji wa uamuzi huo. Mahakama zimeweka wazi kuwa maslahi ya kitaifa yanapaswa kupewa kipaumbele kuliko mapendeleo ya kifamilia, na hivyo kufungua njia ya kisheria ya kurejeshwa na kuzikwa kwa mwili wa Lungu nchini Zambia. Hata hivyo, hadi sasa, hakuna hatua rasmi iliyochukuliwa ya kurejesha mwili huo. #UFMUpdates