У нас вы можете посмотреть бесплатно MBUNGE ACHUKUA HATUA SHIMO HATARISHI KAGERA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAGERA: WADAU wa maendeleo kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Johnstone Mtasingwa, wameliziba shimo kubwa lililokuwa katikati ya Barabara ya Kasarani Buyekele kwa kumwaga kifusi, siku chache baada ya vyombo vya habari kuripoti changamoto hiyo. Wananchi wamepongeza hatua hiyo wakisema imerejesha hali ya usalama na urahisi wa usafiri. Mbunge huyo amesema barabara hiyo itatekelezwa kwa kiwango bora kupitia mradi wa TACTICS, ambapo mkandarasi tayari ameanza kazi. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09