У нас вы можете посмотреть бесплатно KILA MTU ANA THAMANI MBELE ZA MUNGU | Pr K.KAMANZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KILA MTU NI WA THAMANI MBELE ZA MUNGU Mathayo 1:1-17 Usiangalie mapito ya mwanadamu na kusema ya kwamba huyo ana MUNGU au Hana MUNGU. Ukiona mtu anachangamoto usiseme kwamba amepigwa na MUNGU bali mengine ni kipimo cha Imani yao kwa MUNGU. Je unafuta maelekezo ya KIBALI ili uokolewe? Usipopata kibali mbele za MUNGU hutaokolewa. Maajabu yatakayokuwepo kwa familia itakayokwenda Mbinguni; 1. Kuwakosa uliotarajia utawakuta Mbinguni. 2. Wale ambao ulidhani hawataenda na utawakuta Mbinguni - (Hujui mtu atahitimishaje/alihitimishaje Maisha yake au mahusiano yake na MUNGU) 3. Wewe mwenyewe kujikuta uko mbinguni (tathmini Maisha yako, maongezi yako, simu yako, vitu unavyopendelea, nguo zako, kwa ujumla mwenendo wako jiulize hivi kweli unafaa kwenda mbinguni Kafara ya Yesu Kristo ilisamehe dhambi za nyuma, dhambi za leo na dhambi za kesho; Usijezitenda ukadhani zimesamehewa lakini ukitenda na kuungama utasamehewa. Ubarikiwe unaposhiriki katika Ibada katika Jukwaa la Imo kila siku saa 11 alfajiri kupitia kiunganishi hiki. Join us! https://s.imoim.net/j8nbAq?from=WhatsApp #sda #sdachurch #sda #savp #savptv #savplive #savpupdate #gospelmusic #choir #simama #choirsongs #sda #sdachurch #sda #jesus #yesu #christian #christianmusic #christiansongs #music #duniatunapita #sdahymns #dailyshorts #sdachoir^ #tzgospelsongs #sdachurch #sda #savp #savptv #savplive #savpupdate #gospelmusic #music #news #makambi #automobile #church #nyimbozawokovu #nyimbozainjili #dini #katoliki #kkktkariakoomorningglory #sda #sabato #news #samiasuluhuhassan #millardayo #alikiba #samiasuluhuhassan #millardayo #alikiba #wasafi #diamondplatnumz #chrisbrown #crown #yanga #simba #ccmtanzania #clouds #akon #fatjoe #rema #nigeria #tanzania #unwomen #harmonize #afya #trump #putin #zelensky #sda #savp #savptv #savplive #savpupdate Follow us on our. Instagram account: savptv Facebook account: savpmedia SUBSCRIBE | COMMENT | LIKE | SHARE