У нас вы можете посмотреть бесплатно MASOUD MASOUD ALIVYOICHAMBUA HISTORIA YA MSONDO NGOMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jamaa anaujua muziki, anajua kuuzungumzia muziki, sauti yake inatiririka katika mawimbi yatakayokufanya utamani kumsikiliza tena na tena. Huyo ni Masoud Masoud manju wa muziki kutoka TBC. Jumamosi kwenye sherehe za miaka 60 ya Msondo Ngoma, jamaa aliwaduwaza wengi kwa umahiri wake. Alipewa nafasi ya kutoa historia fupi ya Msondo Ngoma, akamimina mengi ambayo yalikuwa mageni kabisa kwa umati mkubwa uliohudhuria onyesho lile. Mtazame kwenye hii video. Bila kusoma sehemu, Masoud Masoud akawa anashusha data mithili ya computer, akatusafirisha huku na kule katika kusheresha historia ya Msondo Ngoma.