У нас вы можете посмотреть бесплатно HISTORIA YA BAZIMBA NA ASILI ZAKE ZA MAAJABU msimulizi RAMADHANI NASIBU/ EmoTv AFRICA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#Histoire #Bazimba #Babinja Bara la afrika nila kipekee kuwa na makabila mengi kuliko bara zote, hata utafiti unaonesha kwamba kuna zaidi ya 2 000 ivi ya makabila inayopatikana umo. Hata kama baadhi ya makabila ina mambo yanayofanana kwa ukaribu lakini bado kila kabila ina tamaduni,mila, lugha, michezo n.k tofauti kabisa na makabila mengine. Afrika ni kubwa na inaficha mambo mengi ambayo kwetu ni funzo nani jukumu letu kujifunza. _________________________________________________ Jamuari ya Kidemocratia ya Congo peke yake inazaidi ya 450 ivi ya makabila. 🇨🇩 katika nia yakujifunza, tumealika msimamizi wa vijana @RAMADHANI .... mwenye kabila la WAZIMBA tena msimamizi wa vijana wazimba uko Kinshasa. Kueleza kwa upana chimbuko la asili ya kabila lake kupitia video iyi ambayo inasehemu mbili. sehemu ya kwanza ni historia ya chimbula la kabila lake na tamaduni zake za kale. *sehemu ya pili ni organisation ya kabila iyo kwenye karne yetu ya sasa (Wakati wa kizungu). ========================================== Nia na madhumuni yetu nikukufanya wewe kuijuwa afrika na thamani yake, tuoneshe upendo kwa ku like👍 naku subscrib💯💯💯 kwenye Chanel yetu. / @emo_television5