У нас вы можете посмотреть бесплатно HakunaKufeli Imeonyesha Tija kubwa Shule ya Sekondari Jokate Mwegelo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Walimu na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Wasichana Jokate Mwegelo iliyopo wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani. Wameipongeza na kuishukuru sana Program ya HAKUNAKUFELI inayoendeshwa na taasisi ya Goldeni Nation. Program hii imewawezesha wanafunzi hao kuwa na uwezo mkubwa wa kumbukumbu na Waliponza kidato cha kwanza mnamo mwaka 2021 ndipo pia walianza na program hii ya Hakuna kufeli. Wengi wao walikuwa na uwezo dhaifu ila kupitia hii program wenyewe na walimu wao wamekiri mabadiliko makubwa na kujihakikishia kuwa katika mtihani wa Taifa wa kidato cha nne wanao uwezo wa kufaulu kwa madaraja ya kwanza. Kwa maana Mitihani ya Kimkoa wanafunzi hao takribani 86 wamepata daraja la kwanza.