У нас вы можете посмотреть бесплатно VILIO MAHAKAMANI LISSU AKIDAI KUNYIMWA CHAKULA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Vilio na simanzi vimetawala katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Tundu Lissu, anayekabiliwa na tuhuma za uhaini, kuwasilisha malalamiko mazito dhidi ya Jeshi la Magereza. Lissu aliiambia Mahakama kuwa amekuwa akinyimwa chakula kwa makusudi, hali iliyozua majonzi makubwa miongoni mwa watu waliohudhuria shauri hilo mahakamani hapo leo. Mwanasiasa huyo alifafanua kuwa, licha ya askari magereza kuwa na fedha zake kwa ajili ya ununuzi wa chakula, wamekaidi kumpatia huduma hiyo muhimu ya kibinadamu. Tukio hilo limeibua hisia kali ndani ya chumba cha mahakama, huku kukiwa na shinikizo la kutaka haki za msingi za mtuhumiwa huyo ziheshimiwe wakati mchakato wa kisheria ukiendelea. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg