У нас вы можете посмотреть бесплатно HADI SASA VISIMA 96 vya MAFUTA VIMECHIMBWA TANZANIA, 59 NCHI KAVU, 37 BAHARINI.... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HADI SASA VISIMA 96 vya MAFUTA VIMECHIMBWA TANZANIA, 59 NCHI KAVU, 37 BAHARINI.... MAMLAKA ya udhibiti mkondo wa juu wa mafuta-PURA, imesema tangu kuanza shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini miaka ya hamsini Hadi Sasa imefanikiwa kuchimba jumla ya visima vya utafutaji wa mafuta 96 ambapo kati ya visima hivyo visima 59 vipi maeneo ya nchi kavu huku visima 37 vikiwa maeneo ya baharini. Aidha amesema katika visima hivyo 96 vililivyochimbwa gesi asilia imegunduliwa katika visima 44 ambapo kati ya visima hivyo 44 visima 16 vilichimbwa nchi kavu na 28 vilichimbwa baharini. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam Leo na Mkurugenzi mtendaji wa PURA,Mhandisi Charles Sambweni wakati akizungumza kwenye mkutano wa wahariri ulioratibiwa na ofisi ya msajili wa hazina wenye lengo la kuelezea mafanikio ya udhibiti na usimamizi wa shughuli za mkondo wa juu wa petroli nchini. CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii! ======================== Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰 ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx