У нас вы можете посмотреть бесплатно DURU ZETU ALASIRI: DC GEITA- MADAWATI YA MALALAMIKO YAIMARISHWE, TRUMP KUMALIZA VITA | 12.03.2026 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DURU ZETU ALASIRI: Habari kuu jioni ya leo kitaifa, kimataifa, Ujumbe pitia Waza Wazua, Uchumi na biashara pamoja na na Dondoo za Michezo bila kusahau maoni yako kupitia 0710 977 977 Tuliyonayo alasiri ya leo.…… Mkuu wa Wilaya ya Geita aagiza kuimarishwa madawati ya malalamiko kila Kata ili wananchi kuwasilisha changamoto zao kiurahisi. Tume ya tathmini matumizi ya ardhi Ngorongoro yasema matumizi mseto ya ardhi Hifadhi ya Ngorongoro umeleta mafanikio katika sekta ya utalii. NA Rais wa Marekni Donald Trump asema akitaka vita viishe, vitamalizika #rkduruhabari #radiokwizera #2026aminia __________________________________________ Radio Kwizera Ngara Kagera Tanzania | Unaweza kuisikiliza Radio Kwizera kwa masafa mbalimbali: 97.7 KAGERA, MWANZA & GEITA | 93.7 KIGOMA | 89.5 SHINYANGA Unaweza kusikiliza kwa njia ya mtandao kwa kubofya link hapo chini https://radiokwizera.co.tz/ LIKE | FOLLOW | SUBSCRIBE | COMMENT | SHARE © All Rights Reserved to JRS Radio Kwizera 1995-2026