У нас вы можете посмотреть бесплатно Kimasomaso -Issa Matona или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Aye masomaso mwanangu asimuone Kimasomaso mwanangu asimuone Kwa jicho la hasidi mwanangu asimuone Ah na wambaya wetu eeh mwanetu asimuone Masooo mwanangu asimuone Hongera mwanangu eeh hongera na mimi mamae tuhongere Nasema yuwapi weeh yuwapi mamae harusi aje hapa tuhangaike nae nasema yuwapi jamani leo yuwapi mama Na mamae harusi namtaka aje hapa Shangazi lake harusi nae namtaka aje hapa Na dadaake harusi nae namtaka aje hapa Na bibiake nae namtaka aje hapa na somo yake harusi namtaka aje hapa tuje tumfunze mwari asije kufedheheka ukiitwa na mumeo mama wajibu kumuitika ukiitwa ewe bibi uitike bwana labeka umridhie mumeo mama kwa kila analotaka ijapokuwa na mwao sitaki mnitukane nnawaita wazazi waje hapa tuonane wanipe mkaja wangu upatao mia nane umuweke utangani mwari amsemeza aseme uinue uso nyuma mama wahisani uwaone uangaze kila pembe na wabaya uwaone anapokuwa mumeo hujambo muulizane uufungue mkoba mama kilo ndani ukione utahadhari na shoga wasije wakunyang’anye salkheri njiani wengine si wanaume leo umepata wako mahawara na wakome hodi hodi nnakuja kuja na langu shauri mlombali msogee wala msitaakhari makungwi mkusanyike imeingia hatari vifunikavyo vyaliwa vinaachwa vilowazi mwari amevunja ungo mutahadhari walezi somo yake biharusi hebu nitafutieni na kungwi lake harusi wote waje hapa uwanjani tuje tumfunze mwari malezi ya kizamani unapopelekwa kwako mama unapofika nyumbani ukacheke na mumeo mama umpumbaze chumbani wakaja na ndugu zako wakaribishe chumbani wakaja mawifi zako mama uinuke kitandani wanapokuja wakwezo uwaweke ukumbini wakaja shemegi zako uwaweke barazani wakaja mashoga zako sema nao dirishani wakikuaga kwaheri uwambie karibuni ufunge mlango wako urejee kitandani huku ukichekacheka na macho yawe laini nasema na dada zangu nyie mnaokaa mjini nyie mnao waume leo sikizeni kwa makini karandinga limelia vibaibui begani muwazuwie waume wasirande majiani muwafunge kwa vitanzi muwafiche maziwani akija akikutoka mume humuoni asilani atapikiwa mkate na vichuzi bakulini atafukizwa na udi na asumini kitandani atakupita na honda yule sie bwana khalfani utolewe kwate lako ulie na mito kitandani ndugu zangu maharusi sikizeni nnasema tumengia mitamboni watu wote wanaona wazazi wa mke na mume wote wamekusanyana huu ni wangu wasia msiseme natukana mashoga wa siku hizi ujue hawana maana mkikutana njiani eti hujambo huulizana utamfanya mpenzi siri zenu kupeana umkaribishe njiani furaha na taadhima utampikia dhifa nyingi nyingi zilonona umuoneshe wazazi huyu baba huyu mama ukimuonesha shemegi atamwinukia wima atafanya kila mbinu apate kumuandama fadhila na ihisani hatozikumbuka tena akuache unalia njiani unalalama utatamani akhera nawe ungali mzima kama atakwita bibi nimekuzalia nani miezi miwili mitatu mama mibegi yako kichwani huu ni wangu wasia Issa nnasema uwanjani sikizeni kwa makini nyie wari mlovipembni ukaisikia hodi mama ushungi uwe kichwani huenda akawa mumeo mama usimkere moyoni kama ndie bwana pita kwa sauti ya huzuni