У нас вы можете посмотреть бесплатно KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris Je, umewahi kuomba kwa bidii na badala ya mambo kutulia, hali ikawa ngumu zaidi? Katika somo hili, Mtumishi Innocent Morris anazungumzia siri ya vita vya kiroho vinavyozidi unapomkaribia Mungu kupitia maombi. Katika somo hili utajifunza: Sababu zinazofanya maombi yako kuvuta mashambulizi. Jinsi ya kuendelea kusimama imara katika imani hata katikati ya vita. Ushindi wa kiroho kupitia nguvu ya maombi na neno la Mungu. Hili ni somo litakalokutia moyo na kukupa mwangaza wa kuendelea mbele kwa ushindi. Bonyeza link kujifunza somo hili sasa. Usisahau kushare na watu wengine. Chukua pen na karatasi ujifunze somo hili sasa. ⏯️ Usisahau kusubscribe kwa mafunzo zaidi ya kiroho. Na pia like na kushare na watu wengine. Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Tiktok: hscworship Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Link: / holyspiritconnect Facebook Link: / holyspiritconnect YouTube Link: / holyspiritconnect Tiktok Link: / hscworship #holyspiritconnect #innocentmorris #RohoMtakatifu #MafunzoYaKiRoho #InnocentMorris