У нас вы можете посмотреть бесплатно ZION MESSENGER OF CHRIST FT SAM WAYA _- MPENDE JIRANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SPECIAL APPRECIATION TO; WRITER/COMPOSER $ VOCAL COACH OZBON JOHN MUSIC DIRECTOR; HENRY SOLO GUITAR ; GIDI SOLO BASS GUITAR: YOHANA VIDEO DIRECTOR ; EBEN CREATIVE AUDIO MIXING: MOFAY ZION MESSENGERS OF CHRIST (Z.M.C) Ni Team inayo hubiri injili kwa njia nyingi ikiwa pamoja na UIMBAJI. Katika ulimwengu huu unaozidi kujikita katika Ubinafsi na chuki, Mungu anatukumbusha msingi wa maisha ya Kikristo; UPENDO, "Mpende Jirani yako kama nafsi yako"- Yesu Kristo(Mathayo 22:39) Wimbo huu ni wito wakuamka kwa kila mwamini. Niombi na shukurani kwa Mungu, na pia ni ukumbusho kwamba Upendo si hisia tu, bali ni amri kutoka kwa Mungu na mtindo wa maisha. Tunaamini kwamba tunapo mpenda Mungu kwa moyo wetu wote, matokeo yake ni upendo kwa jirani zetu iwe ni rafiki,adui,maskini hata mwenye shida. Kama Yesu alivyo tupenda sisi, sisi pia tuwapende wengine. KUMBUKA: #Tanzania inahitaji UPENDO #Africa inahitaji UPENDO #Dunia inahitaji UPENDO wewe na Mimi tunaweza kuwa chanzo cha upendo huo. usisahau kujiunga na channel yetu ili kupokea taarifa za nyimbo mpya. ( / @zionmessengersofchrist.7841 ) MAWASILIANO: SIMU/WHATSAPP: 0755 992 390 INST/TIKTOK/FACEB: Z.M.C (ZION MESSENGERS OF CHRIST) email: zionmeschrist01@gmail.com.