У нас вы можете посмотреть бесплатно Rais Magufuli Amtumbua Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo, Amtaka Aachie Madaraka или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais Magufuli Amtaka Muhongo Aachie Ngazi, Aivunja Bodi ya TMAA na Kumfuta Kazi Mkurugenzi Wake Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 IKULU, DAR ES SALAAM: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatano, Mei 24, 2017 wakati wa kupokea Ripoti ya Kamati Maalum ya Utafiti wa Mchanga (Makanika) uliomo kwenye makontena yaliyozuiliwa kwenye bandari tofauti hapa nchini, pamoja na hatua nyingine, amemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo ajitathmini kwa kina na ikiwezekana aachie ngazi mara moja kufuatia madudu yanayoendelea kwenye wizara yake ikiwemo upotevu wa madini. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Akipokea ripoti hiyo, Rais Magufuli pia amemfuta kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA), na kuivunja bodi hiyo kwa upotevu wa madini huku akiitaka TAKUKURU na vyombo vya dola kuwachunguza na kuwachukulia hatua wafanyakazi wa bodi hiyo. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Aidha Rais Magufuli ameonesha kusikitishwa mno na ripoti hiyo ambayo imebainika kwamba kiwango kikubwa cha madini kinachotoroshwa nje ya nchi. / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1