У нас вы можете посмотреть бесплатно "Yesu ulishinda" - HURU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HURU - Waimbaji wa sifa Hiki ni kikundi kilichoundwa na vijana waliookoka waliokuwa waimbaji wazungu kutoka Ulaya (Sweden) pamoja na watanzania wachache. Wanatambulika kutokana na nyimbo zao walizoimba katika miaka ya 1990 na kitu. Wazungu hawa walikuja hapa Tanzania, katika mji wa Arusha ambapo walirekodi album yao katika kituo cha RHM (Redio Habari Maalum), kisha wakaondoka nje ya nchi. [This is a group that was made up by Christian youth who were white singers from Europe (Sweden) together with few Tanzanians. They are known for their songs that they sang in the 1990s. These whites came here in Tanzania, in Arusha city where they recorded their album at RHM centre, then left out of the country.] Album ya HURU ilikuwa na nyimbo zifuatazo: [HURU's album had the following songs:] •Damu ya Yesu •Hakuna Mungu kama wewe •Jina la Yesu •Napenda kufanana nawe •Roho Mtakatifu •Sifa zote kwa kondoo •Sisi ni washindaji •Twende juu sayuni •Ushindi •Yesu ulishinda #HURU #nyimbo #RHM ---------------------------------------- Mwisho wa mambo yote umekaribia. Utaishi wapi milele? Mungu anachukia sana dhambi na ukifa katika dhambi zako hutaingia mbinguni. Ni Yesu Kristo pekee awezaye kukupatanisha na Mungu. Tubu dhambi zako na umwamini Yesu Kristo (kwa sababu alikufa kwa ajili ya dhambi zako Msalabani) ili usamehewe dhambi zako zote na upokee Uzima wa milele. [The end of all things is near. Where will you live forever? God hates sin so much and if you die in your sins you won't enter in Heaven. It's only Jesus Christ who can reconcile you to God. Repent of your sins and believe in Jesus Christ (because he died for your sins on the Cross) that you may be forgiven of all your sins and receive Eternal life.]