У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI KUWASILISHA KERO KUPITIA WHATSAPP или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Mhe. Halima Okash, amezindua mfumo wa kidijitali wa kusikiliza kero za wananchi uitwao "Chemba Konektedi" kupitia namba ya WhatsApp 0771 400 500. Mfumo huo unaruhusu wananchi kuwasilisha malalamiko na changamoto zao moja kwa moja na kupata majibu ndani ya saa 24, huku ukitoa fursa ya kupata taarifa za uwekezaji, utalii, na kilimo bila kulazimika kusafiri kufuata huduma katika ofisi za serikali. Wananchi wa Wilaya ya Chemba wameupokea mpango huo kwa shauku kubwa wakieleza kuwa utaokoa muda na gharama za usafiri, huku ukiwapa uhuru wale wanaoshindwa kusema kero zao kwenye mikutano ya hadhara. Mhe. Okash amesisitiza kuwa mfumo huo wa chatbot unatekeleza azma ya Rais ya kusogeza huduma kwa wananchi kidijitali na utapatikana kwa saa 24 siku saba za wiki ili kuharakisha utatuzi wa kero na kuimarisha maendeleo ya wilaya hiyo. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg