У нас вы можете посмотреть бесплатно Simanzi! Mke asimulia mumewe alivyojinyonga asubuhi Dodoma "Aliniamsha niende nipande hapo nnje" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ikiwa ni siku kadhaa tangu lilipotokea tukio la mtoto mwenye umri wa miaka 14 anayefahamika kwa jina la Mpali Steven (14) kujinyonga, leo Jumanne, November 21, 2023 limetokea tukio jingine la mtu mmoja aliyefahamika kama Denis Ngomai anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 60 kujinyonga katika mtaa wa Mahomanyika jijini Dodoma. Hapa mke wake aitwaye Rukia Ngomai pamoja na majirani wanatueleza namna tukio hilo lilivyotokea, Tunaendelea kufuatilia zaidi na tutakuletea taarifa zaidi kuhusu tukio hili.