 
                                У нас вы можете посмотреть бесплатно Makala maalum ya uchaguzi Tanzania, katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
                        Если кнопки скачивания не
                            загрузились
                            НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
                        
                        Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
                        страницы. 
                        Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
                    
Jumatano Oktoba 29, 2025, ni siku muhimu kwa Tanzania. Ni siku ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, tukio la kikatiba linalotazamwa kama kilele cha demokrasia ya taifa. Lakini mwaka huu, siku hiyo hiyo imechukua sura mbili. Wakati serikali na vyama vya siasa vinawahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura, makundi mengine yanayojitambulisha kama wanaharakati yanahamasisha maandamano, wakisema ni njia ya kupaza sauti zao dhidi ya kile wanachokiona kama kukwama kwa mageuzi ya kisiasa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili