У нас вы можете посмотреть бесплатно Ona WAZARAMO Wanavyojua KUNENGUA, Zijue MILA na Desturi Zao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kijiji cha Makumbusho ni eneo linalohifadhi mifano ya nyumba na vifaa vya tamaduni mbalimbali zinazopatikana katika nchi ya Tanzania Eneo hilo lipo katika jiji la Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kijiji hicho kilianzishwa mwaka 1966 kwa ajili ya kuonyesha na kutunza tamaduni ikiwemo tamaduni za asili , ngoma na tamaduni za makabila mbalimbali kama Wanyakyusa, Makonde, Masai, Chagga, Haya, Ngoni, Yao na mengine mengi Kaim Mkurugenzi wa kijiji cha makumbusho Agness Robert akizingumza lengo la kuwepo kwa kijiji hicho huku akitoa wito kwa watanzania kwenda kutembelea kijiji cha makumbusho kwani watajifunza na kufahamu mila na Desturi za nchi ya Tanzania Katika kijiji cha makumbusho niliweza kukutana na kabila la wazaramo na kuweza kuzungumza mengi kuhusiana na kabila hilo, Shaban Chuma ni Mzee wa kizaramo anaeleza mila na Desturi za kabila hilo zilivyo. Kwa upande wake Felix Mkuku ambaye ni mtoa elimu katika kijiji cha makumbusho nae amezungumza kuhusiana na kijiji hicho YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li