У нас вы можете посмотреть бесплатно DC MONDULI GLORIANA KIMATH AMEFUNGA MAFUNZO KIJESHI YA AWALI KIKOSI CHA JESHI 839 KJ MAKUYUNI JKT. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa wilaya ya Monduli Mhe.Gloriana amefunga mafunzo kijeshi kwa mujibu sheria oparesheni Nishati safi katika kata Makuyuni Wilaya ya Monduli. “Napenda kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Amiri Jeshi Mkuu kwa Moyo wa kizalendo wa kuendeleza Mafunzo haya Muhimu kwa vijana wetu wa kitanzania ili wawe wazalendo Na wenye Uchungu na Taifa Dc Gloariana Kimath ametoa Rai na kuwakumbusha kuwa Mwaka huu mwaka wa Uchaguzi Mwezi Oktoba watanzania watachagua Viongozi kwa Nafasi ya Urais,Ubunge na Udiwani na kusisitiza kuwa kila Mwananchi wenye sifa kupiga kura atumie nafasi huyo kupiga kura na kulinda Amani.