У нас вы можете посмотреть бесплатно NASAHA ZA THAMANI KWA WANAWAKE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nasaha hii muhimu kwa wanawake wa Kiislamu, ikitokana na hadithi sahihi ya Mtume ﷺ inayosema kuhusu wanawake (waliovaa lakini wako uchi). Katika maudhui haya, tunakumbushwa umuhimu wa: Haya na staha kwa mwanamke wa Kiislamu Kufuata maelekezo ya Qur’an na Sunnah Kujilinda na mitindo ya mavazi inayokwenda kinyume na maadili ya Uislamu Kutafuta radhi za Allah ﷻ badala ya radhi za watu Nasaha hii imetolewa Markaz Mus‘ab bin ‘Umayr – Musoma, kwa lengo la kurekebisha jamii na kuwakumbusha dada zetu wajitathmini kabla ya siku ya hesabu. 🤲 Allah atujaalie kuelewa, kutekeleza, na kufaulu duniani na Akhera. 🌸 #NasahaGhaliKwaWanawake #MarkazMusabBinUmayr #Musoma #NasahaZaKiislamu #WanawakeWaKiislamu #HayaNaStaha #AriyatiKaasiyati #Sunnah #QuranNaSunnah #Dawah