У нас вы можете посмотреть бесплатно KIFO CHA PATRICE LUMUMBA KINASIKITISHA /WAMEUFUKUA MWILI WAKE NA KUMYEYUSHA KWENYE PIPA LA TINDIKALI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mpaka leo kuna watu wanaiona hotubu ya Lumumba kama hotuba bora kabisa kuwahi kutokea. Mmoja wao ni mimi na Malcom X. Juni 28, 1964 Malcolm X aliwahi kusema, “Lumumba is the greatest Black man. He didn’t fear anybody. He had those people so scared they had to kill him. They couldn’t buy him, they couldn’t frighten him, they couldn’t reach him. He told the king of Belgium, ‘Man, you may have let us free, you may have given us our independence, but we can never forget these scars.’ Unadhani baada ya hutuba ile aliweza kuongoza sasa? Thubutu! Kuingia Ikulu tu wanajeshi wakagoma, walikitaka kupandishwa vyeo na kupewa mishahara minono ndani ya wiki moja ya uhuru, bunge nalo likadai nyongeza ya mishahara, akawaambia acheni upumbavu. Siku sita tu baada ya uhuru Lumumba akawapandisha vyeo askari wake lakini vurugu zikaendelea. Akajua hii ni hujuma hii. Akamtimua kazi Jenerali Emile Janssens, Mkuu wa Majeshi. Alimtoa Mbeligiji akamuweka Mswahili. Akawatimua kazi maafisa wote wa kizungu jeshini na kubadilisha jina la jeshi. Likaitwa ‘Armee Nationale Congolaise’ badala ya ‘Force Publique’. Mwandishi: Denis Mpagaze -------------------------------------------------------------------------------------------- Instagram: / mtigaabdall. . Facebook: / mtiga.co.tz Website: https://mtiga.co.tz/ -------------------------------------------------------------------------------------------- #Newchapter #mtigaabdallah #storyteller