У нас вы можете посмотреть бесплатно Tazama Ukaguzi wa Gwaride, Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Simuli или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Utumishi afunga mafunzo ya kuruti Mkuu wa Utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli amefunga mafunzo ya askari wapya kundi maalum 05/21. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika Shule ya Mafunzo ya Awali RTS-Kihangaiko Mkoani Pwani siku ya Tarehe 04 Juni, 2021, Jumla ya wahitumi 318 walihitimu mafunzo yao ikiwa Wavulana 269 na Wasichana 49 walikabidhiwa Vyeti vya kuhitimu Mafunzo hayo. Katika Sherehe hizo Mgeni Rasmi aliwasihi Askari hao kuheshimu kiapo chao kwani kwa kufanya hivyo itawafanya kulitumikia jeshi kwa utii, Nidhamu na Uhodari wa Hali ya juu. Pia aliwataka askari kutunza afya zao kwani Jeshini afya ndio mtaji wenyewe na kuacha kupuuzia maelekezo yanayotolewa na wataalamu kuhusiana na ugonjwa wa Corona uliyokumba Dunia kwa Sasa.