У нас вы можете посмотреть бесплатно MARUFUKU WENYEVITI WA VIJIJI NA MITAA KUUZA ARDHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amepiga marufuku wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Vijiji kote nchini kutojihusisha na mauzo ya viwanja na vipande vya ardhi. Aidha ameweka wazi kuwa watakaohusika ni maofisa ardhi kwa kushirikiana na kampuni za upangaji na upimaji wa ardhi kwenye maeneo na miji husika huku akipiga marufuku wananchi kutonunua maeneo ya ardhi ambayo hayajapimwa au kupangwa na Serikali. Waziri Silaa ameyasema hayo leo Desemba 22,2023 alipokuwa akitoa tathmini ya siku 100 tangu alipoteuliwa kushika wadhifa wa Waziri mwenye dhamana na masuala ya ardhi kupitia mkutano wajukwaa la wahariri uliofanyika jijini Dar es Salaam.