У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴LIVE: MISA TAKATIFU YA KUMBUKIZI YA MIAKA 5 YA HAYATI JOHN MAGUFULI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tunakuletea mubashara kutoka Chato, Tanzania, Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Magufuli. Tukio hili linawakutanisha viongozi, familia na wananchi kwa pamoja kumuombea na kumkumbuka kiongozi huyu, tukitafakari maisha, uongozi na mchango wake kwa Taifa la Tanzania. Ungana nasi katika sala na tafakari tukimuenzi kiongozi aliyegusa maisha ya wengi. 📍 Mahali: Chato, Tanzania 📅 Tarehe: Machi 17 #MagufuliMiaka5 #TunakumbukaMagufuli #ChatoLive #TanzaniaInakumbuka #PumzikaKwaAmaniMagufuli #MisaTakatifu #UrithiWaMagufuli 👉 Subscribe, Like, na Share ili kuendelea kupata matangazo ya moja kwa moja na taarifa muhimu za kitaifa. Soma: https://nukta.co.tz/ Twitter: / nuktatanzania Facebook: / nuktatanzania Subscribe kwa makala zaidi za kina na kiuchambuzi @Nukta TV