• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo. скачать в хорошем качестве

Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo. 2 месяца назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo.
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo. в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo. в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo.

Morogoro kuimarisha ushirikiano na Zanzibar katika nyanja ya kilimo. Mkoa wa Morogoro na Zanzibar imeendelea kukuza ushirikiano kwenye masuala ya kilimo hususan katika kilimo cha Karafuu na Mpunga ili kuongeza utaalamu kwa pande hizo mbili na hivyo kuongeza uzalishaji wa mazao hayo na kupata masoko. Hayo yalibainishwa Septemba 15, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima wakati akifunga ziara ya mafunzo ya Maafisa ughani mafunzo kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa TARI wa kuoneshea teknolojia ya Kilimo uliopo Nanenane Mkoani Morogoro. Mkoa umepokea maafisa 33 ambao wametembelea mashamba mbalimbali ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) kwa lengo la kujifunza mbinu bora za kilimo cha mazao mbalimbali. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu huyo wa Mkoa amesema ushirikiano wa pande hizo mbili ni muhimu kwani Morogoro inahitaji masoko ya mazao hususan Mpunga na Karafuu na Zanzibar inahitaji bidhaa hususan zao la mchele hivo ni vyema pande hizo mbili zikaongeza ushirikiano wa sekta ya kilimo ili kuhakikisha upatikanaji wa mchele Zanzibar unaongezeka. “Ninyi leo tunawakaribisha mjionee kama mpo sehemu ambayo katika mahusiano haya, mnatuhitaji na sisi tunawahitaji. Ninyi mna masoko, sisi tuna uzalishaji,” amesema Mheshimiwa Adam Kighoma Malima. Aidha amesema, Mkoa wa Morogoro kwa sasa ndio unaoongoza nchini kwa uzalishaji wa mchele, ambapo huzalisha tani 600,000 kwa mwaka wakati Zanzibar inazalisha tani 50,000 pekee huku uhitaji wake ukiwa tani 120,000 na kwamba ushirikiano huo utasaidia kuongeza uzalishaji wa mpunga visiwani humo kupitia mafunzo na mbinu bora zinazotumika katika Mkoa wa Morogoro. Hata hivyo Mkuu huyo wa Mkoa amewaalika Maafisa hao ughani 33 kurudi Morogoro kufanya ziara kama hiyo hususan katika maeneo yaliyopo Mkoani humo yanayozalisha Mpunga kwa wingi ikiwemo Wilaya ya Kilombero na Malinyi maeneo ambayo hawakufika kwa sababu ya  kuwa na siku chache za Ziara yao lengo ni kujifunza zaidi kwa vitendo. Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Uhaulishaji wa Teknolojia na Mahusiano (TARI), Dkt. Sophia Kashenge amesema, lengo la ziara hiyo ni kubadilishana uzoefu katika uzalishaji wa mazao mbalimbali na kubainisha kuwa TARI imeendelea kushirikiana na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Zanzibar (ZARILI) katika kuboresha mbinu za kilimo cha mazao ya chakula na biashara ili kuongeza tija na uzalishaji visiwani humo. Dkt. Kashenge ameongeza kuwa ushirikiano huo hautaishia kwenye maneno pekee, bali utaendelezwa hadi kufikia hatua ya kuingia makubaliano ya maandishi, yenye malengo ya pamoja ya kuongeza uzalishaji kupitia tafiti mbalimbali za kilimo. Naye Afisa Ughani Mkuu kutoka Zanzibar, Dkt. Salum Rehani, ameishukuru Serikali ya Mkoa wa Morogoro kwa kuwapokea na kuwapatia mafunzo hayo muhimu. Amesema wamejifunza mbinu mpya ya kitalu mkeka, ambayo haijaanza kutumika Zanzibar, na kwamba ujuzi huo utasaidia kuongeza uzalishaji wa zao la mpunga visiwani Zanzibar. Kwa upande wake, Afisa Uzalishaji kutoka Idara ya Umwagiliaji Maji, Bi. Rukia Mohamed, amesema wamejifunza umuhimu wa kutumia mbegu bora kulingana na misimu ya kilimo (vuli na masika), jambo ambalo awali halikuzingatiwa na kubainisha kwamba watayafikisha mafunzo hayo kwa wakulima wa Zanzibar ili waweze kutumia aina sahihi za mbegu na kwa msimu husika. Katika hafla hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mheshimiwa Adam Kighoma Malima alipata pia fursa ya kuzindua kisima cha maji cha kituo cha Uhaulishaji wa Teknolojia ya masuala ya kilimo - TARI, kilichochimbwa kwa ushirikiano na Serikali ya Mkoa ambacho kitarahisisha upatikanaji wa maji katika kituo hicho kilichopo Nanenane Manispaa ya Morogoro. Mwisho.

Comments
  • MAKALA YA ZAO LA MICHIKICHI KUTOKA TARI KIHINGA MKOA WA KIGOMA 4 года назад
    MAKALA YA ZAO LA MICHIKICHI KUTOKA TARI KIHINGA MKOA WA KIGOMA
    Опубликовано: 4 года назад
  • TAZAMA MTAFITI WA TARI KIHINGA ANAVYOBAINISHA HATUA ZA UCHAVUSHAJI WA MBEGU BORA ZA MICHIKICHI . 5 лет назад
    TAZAMA MTAFITI WA TARI KIHINGA ANAVYOBAINISHA HATUA ZA UCHAVUSHAJI WA MBEGU BORA ZA MICHIKICHI .
    Опубликовано: 5 лет назад
  • WANAOTAKA KWENDA JKT | NI NOMAA JIONEE KAZI ZA KIKOSI 837KJ CHITA JKT IFAKARA | 4 года назад
    WANAOTAKA KWENDA JKT | NI NOMAA JIONEE KAZI ZA KIKOSI 837KJ CHITA JKT IFAKARA |
    Опубликовано: 4 года назад
  • SITOWAVUMILIA WATENDAJI WAZEMBE KAZINI – DKT. BASHIRU 1 месяц назад
    SITOWAVUMILIA WATENDAJI WAZEMBE KAZINI – DKT. BASHIRU
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku! 5 дней назад
    Kijiji ambacho wanaume wote wamepigwa marufuku!
    Опубликовано: 5 дней назад
  • 2 месяца назад
    "𝐌𝐨𝐫𝐨𝐠𝐨𝐫𝐨 𝐢𝐬 𝐍𝐎𝐓 𝐖𝐡𝐚𝐭 𝐈 𝐄𝐱𝐩𝐞𝐜𝐭𝐞𝐝 😲 | 𝐅𝐢𝐫𝐬𝐭 𝐈𝐦𝐩𝐫𝐞𝐬𝐬𝐢𝐨𝐧 𝐕𝐥𝐨𝐠"
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • TARI YAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA YA KILIMO CHA KISASA KWENYE MAONESHO YA YA SIKU YA WAKULIMA  2020. 5 лет назад
    TARI YAJA NA MAPINDUZI MAKUBWA YA KILIMO CHA KISASA KWENYE MAONESHO YA YA SIKU YA WAKULIMA 2020.
    Опубликовано: 5 лет назад
  • James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu 2 недели назад
    James Millya afungua ofisi ya pili ya mbunge Terrat,amteua Ole Njidai kuwa Katibu
    Опубликовано: 2 недели назад
  • DAMPO KATIKATI YA MJI IFAKARA LAMCHEFUA RC MWASSA 2 года назад
    DAMPO KATIKATI YA MJI IFAKARA LAMCHEFUA RC MWASSA "ZOENI HARAKA, NI HATARI KWA AFYA"
    Опубликовано: 2 года назад
  • KIPINDI CHA UZINDUZI WA DARAJA LA MAGUFULI NA BARABARA YA KIDATU - IFAKARA 7 лет назад
    KIPINDI CHA UZINDUZI WA DARAJA LA MAGUFULI NA BARABARA YA KIDATU - IFAKARA
    Опубликовано: 7 лет назад
  • IJUE GAIRO; CAIRO ya BONGO, MJI ULIOJENGWA kwa VIAZI na ALIZETI, SASA ni DHAHABU | SAFIRI NA GLOBAL 2 года назад
    IJUE GAIRO; CAIRO ya BONGO, MJI ULIOJENGWA kwa VIAZI na ALIZETI, SASA ni DHAHABU | SAFIRI NA GLOBAL
    Опубликовано: 2 года назад
  • JIFUNZE KILIMO CHA UWELE KUPANDA HADI KUVUNA, MASOKO,CHANGAMOTO ZAKE (TARI HOMBOLO) 2 года назад
    JIFUNZE KILIMO CHA UWELE KUPANDA HADI KUVUNA, MASOKO,CHANGAMOTO ZAKE (TARI HOMBOLO)
    Опубликовано: 2 года назад
  • RC MALIMA ATEMA CHECHE MGOGORO WA BARABARA, ATOA SIKU 7 KUMALIZIKA. 3 недели назад
    RC MALIMA ATEMA CHECHE MGOGORO WA BARABARA, ATOA SIKU 7 KUMALIZIKA.
    Опубликовано: 3 недели назад
  • RAS MOROGORO AWOMBA WATAALAMU KUTUMIA TAKWIMU KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI. 1 месяц назад
    RAS MOROGORO AWOMBA WATAALAMU KUTUMIA TAKWIMU KATIKA UTENDAJI WAO WA KAZI.
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • NEEMA ZA DK MWINYI SEKTA YA ULINZI 9 месяцев назад
    NEEMA ZA DK MWINYI SEKTA YA ULINZI
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • Orędzie noworoczne Prezydenta RP 16 часов назад
    Orędzie noworoczne Prezydenta RP
    Опубликовано: 16 часов назад
  • Rais Magufuli Alivyokagua Ujenzi wa Daraja la Mto Kiyegeya, Kilosa Mkoani Morogoro 5 лет назад
    Rais Magufuli Alivyokagua Ujenzi wa Daraja la Mto Kiyegeya, Kilosa Mkoani Morogoro
    Опубликовано: 5 лет назад
  • TARI YAJA NA MBEGU CHOTARA ZA MIGOMBA 2 года назад
    TARI YAJA NA MBEGU CHOTARA ZA MIGOMBA
    Опубликовано: 2 года назад
  • HII NDIO HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 2 года назад
    HII NDIO HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
    Опубликовано: 2 года назад
  • Авария с участием грузовика в Морогоро | Огромная очередь на шоссе. Водитель выжил. 2 месяца назад
    Авария с участием грузовика в Морогоро | Огромная очередь на шоссе. Водитель выжил.
    Опубликовано: 2 месяца назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5