У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANAFUNZI MTANZANIA ANAYELIPWA LAKI 2 KWA SIKU SOUTH AFRIKA,KAJENGA NYUMBA YA MILLION 40 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Erick Laizer ni mwanafunzi mtanzania anayesoma chuo cha African Leadership Academy kilichopo South Africa na alipata nafasi hiyo baada yakugundua mtambo wakumsaidia mtu kujilinda na majanga mbalimbali ikiwemo moto,wizi na hitilafu za umeme ambapo aliibuka nakushika nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya kisayansi Tanzania Erick anasema kwenye chuo anachosoma cha African Leadership Academy analipwa zaidi ya laki mbili kwa siku kwa kutengeneza simu laptop ukiachia mbali fedha nyingine anazolipwa na wanafunzi kwa kuwatengenezea vifaa mbalimbali na amewajengea wazazi wake nyumba ya shilingi millioni 40