У нас вы можете посмотреть бесплатно HAPI ATIKISA BUKOBA, APOKELEWA KWA SHANGWE KUANZA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM,Ally Hapi ambaye yupo mkoani Kagera amepokelewa kwa shangwe mjini Bukoba, ikiwa ni sehemu ya kuanza rasmi kwa kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ziara hiyo inalenga kuhamasisha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kushiriki kikamilifu katika uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Katika mapokezi hayo, Hapi alisisitiza umuhimu wa mshikamano na ushirikiano kati ya wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla ili kuhakikisha ushindi wa chama hicho kwenye nafasi mbalimbali za uongozi wa mitaa. Aliwahimiza vionhozi kuendesha kampeni za kistaarabu na kuzingatia maadili ya chama.