У нас вы можете посмотреть бесплатно Muungano wa CCMP wahamasisha Jamii kuwezeshwa ili kujitengea или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kanisa la ABC kwa ushirikiano na Makanisa ya Kianglikana, Redeemed Gospel, AIC pamoja na Makanisa mengine yaliyo kwenye harakati ya kuhamasisha jamii kupitia kanisa (CCMP) yamezindua rasmi mchakato wa kuleta mabadiliko kwa jamii kupitia Kanisa hapa nchini. Hafla hiyo iliongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la ABC Daktari Timothy Ndambuki katika uwanja wa Kenyatta mjini Machakos. Wakizungumza katika hafla hiyo, viongozi hao wa makanisa wamehimiza makanisa ya mashinani kueneza mchakato huo wakisema umeleta mwanga kwa makanisa kuanza kujitegemea.