У нас вы можете посмотреть бесплатно MWONGOZO MAALUMU WA CHANJO ZA KUKU | Kinga ya Uhakika kwa Kila Mfugaji или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye KingoFarm! Hapa nakupa Mwongozo Maalumu wa Chanjo za Kuku—ratiba sahihi, aina ya chanjo, jinsi ya kuzitoa, na muda muafaka wa kuzitoa ili kulinda kuku wako dhidi ya magonjwa hatari kama Mdondo, Gumboro, Ndunguru, Mafua na Kasumba. Katika video hii utajifunza: 🐥 Chanjo za kuanzia siku ya 1 hadi kuku wanapoanza kutaga 💉 Namna sahihi ya kuandaa na kutoa chanjo 🛡️ Jinsi ya kuongeza kinga ya mwili kwa vifaranga ⏰ Ratiba kamili ya chanjo za miezi 1–5 ⚠️ Makosa yanayofanywa na wafugaji wengi kuhusu chanjo 🔥 Mbinu za kuongeza ufanisi wa chanjo Kufuata mwongozo huu kutakusaidia kupunguza vifo, kuongeza uzalishaji, na kupata faida kubwa kwenye ufugaji wako. --- 📚 Vitabu vya KingoFarm Vinavyopatikana: Tiba za Asili kwa Kuku Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji Safari ya Ufugaji Ufugaji wa Broiler Kitaalamu Wasiliana: 0712188239 --- 👉 Usisahau Like 👍 Comment 💬 Share ↗️ Subscribe kwa video zaidi za tiba asilia na ufugaji bora 🐓🔥