У нас вы можете посмотреть бесплатно WALICHOKIFANYA TRA KWA WAFANYABIASHARA KARIAKOO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua dawati maalumu jijini Dar es Salaam kwa lengo la kusikiliza, kupokea na kutatua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo. Uzinduzi wa dawati hilo umefanywa na Kamishna Mkuu wa TRA, Bwana Yusufu Mwenda, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ya kuimarisha utoaji wa huduma katika soko la kimataifa la Kariakoo. Amesema kuanzishwa kwa dawati hilo kutarahisisha mawasiliano kati ya TRA na wafanyabiashara, kuongeza uwazi katika utoaji wa huduma pamoja na kuboresha huduma za forodha na masuala mengine ya kikodi yanayohusiana na biashara za Kariakoo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09