У нас вы можете посмотреть бесплатно ''WAKIMBIZI 400 KURUDI BURUNDI KILA WIKI ITATUCHUKUA MUDA SANA, KWAO KUNA AMANI'' или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Serikali imesema wakimbizi 400 waliopangwa kurejeshwa nchini Burundi kila wiki ni ndogo ikilinganishwa na idadi ya wakimbizi zaidi ya laki mbili walioko katika makambi ya wakimbizi ya Nyarugusu wilayani Kasulu, Nduta wilayani Kibondo na Mtendeli wilayani Kakonko. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene amesema hayo mara baada ya kusomewa taarifa kutoka Idara ya Huduma kwa Wakimbizi katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani Kigoma, ambapo amesema ipo haja ya jitihada kuongezwa.