У нас вы можете посмотреть бесплатно MADEREVA WA DALADALA WAGOMA TENA ARUSHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Madereva wa daladala, mkoani Arusha wamegoma kutoa huduma, kwa muda usiojulikana, kuanzia leo Agosti 14, 2023, wakilalamikia viongozi wanaosimamia usafirishaji mkoani humo kufumbia macho suala la pikipiki zenye magurudumu matatu maarufu kama Bajaj kufanya kazi sawa na daladala, ikiwa ni tofauti na leseni ya pikipiki hizo. Wakizungumza na ITV madereva hao wamesema mnamo Julai 03, 2023, walisitisha kutoa huduma hiyo, lakini viongozi wa Mkoa na Wilaya walifika na kuzungumza nao, na kuwaahidi kuwa wanalifanyia na kwamba litakwisha, hali ambayo wamedai imekuwa kinyume na imewasababishia uhasama mkubwa kati yao na madereva wa Bajaj.