У нас вы можете посмотреть бесплатно HORMUZ YAWAKA MOTO:IRAN YAONYESHA MAKALI YA KIJESHI, MAREKANI IKIKARIBIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Idara ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Wanamaji la Iran (IRGC} imetangaza kufanyika kwa mazoezi katika eneo la Mlango wa Hormuz, ikisema lengo ni kuchunguza utayari wa vitengo vya Jeshi la Wanamaji la IRGC kukabiliana na vitisho vinavyoweza kutokea vya kijeshi,Shirika la habari la IRNA, likinukuu idara ya mahusiano ya umma ya IRGC, liliripoti kwamba mazoezi hayo yalifanyika chini ya kauli mbiu ya Udhibiti wa Mlango wa Hormuz#Marekani #Iran #MasharikiYaKati #HabariZaDharura #Mvutano #SiasaZaKimataifa #UsalamaWaDunia #Vita #Diplomasia#tmcnews565 Endelea kuwa nasi—usiondoke. TMC News TV inakuletea kila hatua, kila sauti, na kila ujumbe muhimu moja kwa moja. 👍 Like, video zetu ili kuona kila taarifa muhimu haraka! 🔔 Subscribe sasa na usikose kila update mpya. 📤 Share na marafiki na familia ili kila mtu apate ukweli. 💬 Comment chini na tuambie maoni yako—tuna thamini sauti yako! TMC News – shaping the future