У нас вы можете посмотреть бесплатно #BUNGENILEO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi amesema tatizo kubwa linaloikabili sekta ya ardhi ni kupanga, kupima na kumilikisha ardhi huku akitolea mfano jiji la Dar es Salaam kuwa ili kuipanga Dar es Salaam ni lazima kuacha miradi yote ya maendeleo kwa mwaka mzima ili fedha zote za bajeti zitumike kulipanga jiji hilo jambo ambalo kwa sasa haliwezekani. Kunambi ameyasema hayo leo Februari 8, 2024 wakati akichangia mjadala kuhusu Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusu Shughuli za Kamati kwa Mwaka 2023 iliyowasilishwa bungeni mjini Dodoma. Aidha mbunge huyo amembana Waziri wa Ardhi Jerry slaa na kutishia kuondoa shilingi katika bajeti ijayo ya wizara hiyo iwapo hawatatatua mgogoro wa Kambenga unaowatesa wananchi wa jimbo lake. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09