У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya Kuwa Programmer Bila Kuenda Chuo – Kila Kitu Unachopaswa Kujua | Programming kwa Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🎓 Unataka kuwa Programmer lakini hujui uanzie wapi? Karibu kwenye video hii ya kipekee, Iliyo kwa lugha yetu penda ya kiiswahili ili iwe rahisi kwako kuelewa kila kitu kuhusu dunia ya programming. Katika video hii utajifunza: ✅ Programming ni nini (kwa lugha rahisi) ✅ Lugha ipi uanze nayo – Python, C++, au JavaScript? ✅ Je, lazima ujue Kiingereza vizuri? ✅ Je, unaweza kujifunza bila chuo kikuu? ✅ Lazima uwe na laptop kubwa? ✅ Mbinu za kujifunza bila kuchoka na bila kupoteza motisha ✅ Jinsi ya kupata kazi au kuanza kujiajiri kama programmer 💻 Video hii ni kwa ajili yako kama unajiuliza maswali kama haya: ➡️Nianze na nini kujifunza programming? ➡️Je, programming ni ngumu? ➡️Naweza kuwa programmer bila kwenda chuo? ➡️Nifanyeje nianze kutengeneza software au app? ➡️Laptop yangu haitoshi, nifanyeje? 📌 Hakuna haja ya kuwa mtaalamu wa Kiingereza wala kuwa na laptop kubwa – unachohitaji ni nia, muda, na mwongozo sahihi. Jifunze Python hapa 👇 • Python Programming Course | Swahili Jifunze C++ hapa 👇 • C++ Course Jifunze JavaScript hapa 👇 • JavaScript Course | Swahili Jifunze HTML hapa 👇 • HTML Course || Swahili Jifunze CSS hapa 👇 • CSS Course || Swahili Fahamu Kozi mbalimbali za TEHAMA 👇 • Kozi Bora za TEHAMA kwa Bachelor's Degree ... ⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐ 🎥 Karibu sana kwenye Channel yangu! 🎥 Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia 🔹 Afya 🔹 Mazingira 🔹 Sayansi 🔹 Motisha …na mengine mengi ya kuvutia! 🎉 📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪. 🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟 👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara 👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya 🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi: 📱Jiunge na Whatsapp Group letu: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU... 📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg... 📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz 📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz 🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz 📺 YouTube: / @mohamedhafidh255 Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏 #programming #teknolojia #mohamedhafidh_tz