У нас вы можете посмотреть бесплатно Mnara wa Mawasiliano Wachochea Maendeleo Vijijini Manyara или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ujenzi wa mnara wa mawasiliano katika kijiji cha Lobosoiti mkoani Manyara umeboresha maisha ya wananchi wa maeneo ya pembezoni kwa kuongeza upatikanaji wa huduma za simu na intaneti. Wananchi sasa wanapata taarifa za masoko kwa haraka, kufanya miamala ya kifedha kwa njia ya simu, kuimarisha biashara, kilimo na ufugaji pamoja na kupata huduma za kijamii kwa urahisi zaidi. Kwa mujibu wa Kampuni ya Airtel Kanda ya Kaskazini, mnara huo unahudumia vijiji vya Lobosoiti, Emburet, Loksale na Hifadhi ya Taifa ya Tarangire, na umefungua fursa mpya za kiuchumi na kidijitali. Mradi huo unatarajiwa kuendelea kuchochea maendeleo endelevu na kupunguza pengo la mawasiliano vijijini. #airtel #tanzania #arusha